Thursday, January 16, 2014

UZINDUZI WA DARAJA LA MTO KANONI BUKOBA MJINI

Hili ndilo dalaja  la mto Kanoni lililozinduliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Kagera.Mh.Kanali Mstaafu Fabian Masawe Muda mfupi kablaya kuzinduliwa.

Mkuu wa Mkoa Kagera Mh.Kanali Mstaafu Fabian Masawe baada ya kukata utepe kuzindua dalaja la mto Kanoni Tar.16/01/2014.
Baadhi ya viongozi wa Serikali waliohudhulia sherehe za uzinduzi wa dalaja la Mto Kanoni.


Baadhi ya wafanyakazi wa t=Tanroad wakishuhudia  Uzinduzi wa daraja lamto kanoni.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Kanali Msitaafu Fabian Masawe akiongea na wananchi mara baaada ya uzinduzi wa daraja la mto kanoni.





Hapa inaonekana sehemu ya watembea kwa miguu katika daraka la mto kanoni.







m


Mkuu wa Mkoa Kagera Mh Kanali Mstaafu Fabiani Masawe akiongoza msafara  wa viongozi kupita juu ya daraja la mto kanoni.Kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Manispaaa ya Bukoba Anatory Amani


Vyombo vya usalama havikubaki nyuma katika kushuhudia tukio hilo la kihistolia, hapa wanaonekana askali wa usalama barabarani pamoja na askali wa kawaida wakiwa makini kuhakikisha  usalama ni wakutosha mda wote.

Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi huo wakifurahi kwa pamoja na Mkuu wa Mkoa Kagera Kanali Mstaafu Fabiani Masawe.
Baadhi ya wananchi wakitembea juu ya dalaja la mto kanoni muda mfupi baada ya kuzinduliwa na mkuu wa Mkoa Kagera Kanali Mstaafu Fabiani Masawe.




Wakati wa matengenezo ya daraja la mto kanoni, vyombo vya  usafiri vililazimika kufanya mzunguko mrefu kupitia maeneo ya kashabo,Nyakanyasi,Uswahilini mpaka stend.Baada ya uzinduzi wa dalaja hilo vyombo mbalimbali vya usafili vinaonekana vikipita juu ya dalaja  la mto kanoni.

No comments:

Post a Comment