katika kijiji cha BUNYWAMBELE tarafa ya Kamachumu.
Kutokana na upepo kuwa mkali sana, hata miti mikubwa iling'oka, kama inavyoonekana katika picha hii.
Paa lililoezuliwa na upepo likiwa limerushwa pembeni mwa nyumba na kukunjwakunjwa kutokana na upepo mkali. Ni majanga kweli kweli.
Sio kwamba nyumba hii haijaezekwa, la! ilisha ezekwa na kutumika kama ofisi ya kijiji BULEMBO
lakini kutokana upepo mkali ipo kama ionekanavyo katika picha.
Sehemu hii yanaonekana mahema yaliyotolewa na MSALABA MWEKUNDU kusaidia wahanga wa janga la mvua.
Shule ya msingi RUGONGO ni miongoni mwa sehemu zilizoathilika na mvua hizo, hapa wanaonekana wanafunzi wa shule hiyo wakiwa nje ya majengo yaliyoezuliwa na upepo.
No comments:
Post a Comment