Monday, January 27, 2014
SEND-OFF PARTY BI:BEATRICE MUKATES ALIBALIO ILIYO FANYIKA LAKE HOTEL.
Bi.Beatrice M.Alibalio
Matron wake
Wazazi wa Beatrice
Bi.Beatrice na mpambe wake wakiingia ukumbiniMwenyekiti akifungua sherehe
B.Beatrice akimtamburisha mme wake
Wazazi wakishangilia baada ya kuwaonyesha mkwe wao
Bi.harusi akikata keki na mpambe wake
Bi.Harusi mtarajiwa akilishana keki na mpambe wake
Bi.Harusi mtararajiwa akiwapa wazazi wake keki
Bi.Harusi mtarajiwa akiwapa wazazi wa Bwana Harusi mtarajiwa keki
BiHarusi mtarajiwa akimpatia mume wake keki
Bi.Beatrice wakinyweshana kinywaji na mpambe wake
Mama yake bi.Beatrice akienda kumkabidhi zawadi watoto wake
Bw.harusi mtarajiwa akiwa na mpambe wake
Mr.&Mrs.Nestory Alibalio wakiwa wameketi kwenye kiti wakisubirir zawadi kutoka kwa watoto wao wapendwa wakiwapongeza kwa kuwalea vizuri.
Bwana na bi.Harusi watarajiwa wakipata chakula cha usiku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment