Saturday, January 11, 2014

AJALI BARABARA YA KASHURA


Ajali hii ilitokea katika mteremko wa Mlima Kashura baada wa dreva wa gari hilo  kumkwepa mtu aliye kuwa amepakia ndizi kwenye  baiskeli na kukumbwa na utelezi wa mvua.Watu wakishuhudia ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment