Bi.harusi mtarajiwa akiingia ukumbini na wapambe wake
Bwana harusi na wazazi wake wakiwa ukumbini.
Wazazi wakitoa zawadi ya biblia
Mrs.Matungwa akiwa na rafiki yake
Mama wa Bi.harusi mtarajiwa
Mama Matha Kataraiya akiwa na wageni waalikwa.
Wazazi wakishangilia kumuona Bi.harusi akiingia ukumbini.
Matron akiingia ukumbini
Bwana harusi akimtafuta bi harusi
Bi.harusi mtarajiwa akitambulisha wageni waalikwa
Mr.Esbon Kataraihya
Bi.Janeth Kataraihya akikata keki
Bi.Janeth na mpambe wake wakilishana keki
Wazazi wakitoa zawadi
Wakati wa kutoa zawadi wageni waalikwa wote
Mr.&Mrs.Julias Kataraihya wakitafakari send off ya mdogo wao
Picha ya kumbukumbu ya familia ya bw.Matungwa .wakipiga na bi.Harusi mtarajiwa.
Picha ya pamoja Kumbukumbu ya familia nzima.
Bwana harusi mtarajiwa.Mr.Baraka Juma.
Mama na mtoto.mrs.matungwa Kataraiihya
No comments:
Post a Comment