Bw.Mberwa akiwa na bestmani wake.
Bw.Mberwa na Bi Jeniffer wakiwa na wapambe wao pamoja na Mchungaji wakiingia Kanisani KKKT Bukoba kwa ajili ya ibada ya ndoa.
Mama wa Bw.harusi akiwa na wenzake Kanisani.
Mama wa Bwana harusi Mberwa akiwa Kanisani.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Bukoba akiwafungisha ndoa Bw.Mberwa na Bi:Jeniffer.
Bw: Mberwa akivarishwa pete na Bi: Jeniffer.
Bi.Jeniffer akisaini cheti cha ndoa
wakiwa ziwani Mr.Mberwa na Bi.Jeniffer
Mapambo ya ukumbi wa bukoba club
No comments:
Post a Comment