Mha.Methodius Kilaini.Askofu msaidizi jimbo katoriki la Bukoba akitoamahubili katika ibada ya kumuaga Askofu mstaafu Mha.NestoryTimanywa. Mapadre na Masista wakiwa katika ibadaKanisani Kagondo.
Mha.Askofu Desidelius RwomaMha.Askofu Alimachius Rweyongeza Askofu wa jimbo la Kayanga akitoa salamu za pongezi kwa Askofu mstaafu Mha.Askofu Nestory Timanywa.
Maaskofu na Mapadre wakiwa katika picha ya pamojamara baada ya misa ya kumpongezaMha.Askofu Nestory
Maaskofu ,Mapadre na Masista wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya Kanisa la Kagondo
Maaskofu wakikata keki.
Maaskofu na Mapadre wakimchezea ngoma Askofu mstaafu Mha.Askofu Nestory Timanywa
Mha.Askofu Desidelius Rwoma Askofu wa jimbo Katoriki la Bukoba akisoma Risala
Mha.Askofu Desidelius Rwoma akikabidhi risala kwa Askofu mstaafu Mha.Nestory Timanywa.
Mha.Askofu Nestory Timanywa akipokea zawadi kutoka kwa Mapadre.
Mha Askofu mstaafu Nestory Timanywa akipokea zawadi ya HAWAKA Parokia ya Kagondo.
WAWATA hawakubaki nyuma katika kumpongeza Mha.Askofu Nestory Timanywa wakiwa na furaha kubwa sana
Masista wa Bikira Maria Msaada wa Daima Kagondo wakimpongeza Askofu kwa utume wake wa miaka 37 ya Upadri na Miaka 49 ya Uaskofu.Tumshukuru mungu.
No comments:
Post a Comment