Mkurungezi wa BUWASA Engineer Changaka akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akitia sahihi kwenye kitabu cha wageni.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akipokea taarifa ya utendaji kutoka kwa Mkurungezi wa BUWASA Engineer Changaka.
Diwani wa kata ya Kahororo Chief Karumuna akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe katika eneo la Kifungwa alikoenda kukagua Mradi wa ujezi wa Mbwawa la kutibu maji taka.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akisalimiana na wananchi Kifungwa.
Diwani wa kata ya Kahororo Chief Karumuna akitoa taarifa ya maendeleo ya mrandi wa ujenzi wa mbwawa kwa Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe.
Chanzo cha maji eneo la Kastamu
Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Bunena.
Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Kashura
Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Magoti ambao umekamirika kwa asilimia 98.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akikaribishwa katika eneo la Magoti ambako zilifanyika sherehe za uzinduzi wiki ya maji Manispaa ya Bukoba
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akionyesha umahili wa kucheza ngoma
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akihutubia wananchi siku ya uzinduzi wa sherehe za wiki ya maji.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akiteta jambo na Mheshimiwa Felician Bigambo diwani wa kata ya Bakoba.
No comments:
Post a Comment