Monday, March 31, 2014

AJALI MBAYA YAUA NA KUJERUI RUFIJI






MVUA KUBWA ZILIZO AMBATANA NA UPEPO MKALI ZASABABISHA MAAFA MAKUBWA TARAFA KAMACHUMU

 Sehemu ya shamba la migomba iliyovunjwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa ya mawe
katika kijiji cha BUNYWAMBELE tarafa ya Kamachumu.
 Kutokana na upepo kuwa mkali sana, hata miti mikubwa iling'oka, kama inavyoonekana katika picha hii.
 Paa lililoezuliwa na upepo likiwa limerushwa pembeni mwa nyumba na kukunjwakunjwa kutokana na upepo mkali. Ni majanga kweli kweli.
 Sio kwamba nyumba hii haijaezekwa, la! ilisha ezekwa na kutumika kama ofisi ya kijiji BULEMBO
lakini kutokana upepo mkali ipo kama ionekanavyo katika picha.





 Sehemu hii yanaonekana mahema yaliyotolewa na MSALABA MWEKUNDU kusaidia wahanga wa janga la mvua.





















Shule ya msingi RUGONGO ni miongoni mwa sehemu zilizoathilika na mvua hizo, hapa wanaonekana wanafunzi wa shule hiyo wakiwa nje ya majengo yaliyoezuliwa na upepo. 


Friday, March 21, 2014

UZINDUZI WA WIKI YA MAJI BUKOBA WAFANA.[picha na V.RUTTA ]MATUNGWA MB STUDIO

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akishuka kwenye gari lake kuelekea ofisi za BUWASAsiku ya uzinduzi wiki ya maji  Duniani tar:16.3.2014.
          Mkurungezi wa BUWASA Engineer Changaka akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari     msitaafu  Fabiani Masawe

Mkuu wa mkoa wa Kagera  Kanari msitaafu Fabiani Masawe akitia sahihi kwenye kitabu cha wageni.
Mkuu wa mkoa wa  Kagera Kanari  msitaafu Fabiani Masawe akipokea taarifa ya utendaji kutoka kwa Mkurungezi wa BUWASA Engineer Changaka.    

Diwani wa kata ya Kahororo Chief Karumuna akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe katika eneo la  Kifungwa alikoenda kukagua Mradi wa  ujezi wa Mbwawa la kutibu maji taka.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akisalimiana na wananchi Kifungwa.
Diwani wa kata ya Kahororo Chief Karumuna akitoa taarifa ya maendeleo ya mrandi wa ujenzi wa mbwawa kwa Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe.
Chanzo cha maji eneo la Kastamu
Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Bunena.

Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Kashura
Ujenzi wa Tenki la kuhifadhia maji eneo la Magoti ambao umekamirika kwa asilimia 98.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akikaribishwa katika eneo la Magoti ambako zilifanyika sherehe za uzinduzi wiki ya maji Manispaa ya  Bukoba

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akionyesha umahili wa kucheza ngoma



Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akihutubia wananchi siku ya uzinduzi wa sherehe za wiki ya maji.

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanari msitaafu Fabiani Masawe akiteta jambo na Mheshimiwa Felician Bigambo diwani wa kata ya Bakoba.