MAMA WA MOHAMED AKIINGIA UKUMBINI
WAPAMBE WA MAHARUSI
MAMA WA MAHARUSI
MOHAMED AKI MVALISHA BI;BILQIS PETE
NA BILQIS AKIMVALISHA MOHAMED PETE
Thursday, May 8, 2014
Wednesday, April 9, 2014
MAZISHI YA MAREHEMU PAULO M.KILAINI.
Wajukuu wa marehemu PAULO KILAINI.
Mhashamu Askofu Nestory Timanywa[askofu mstahafu] akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Paulo Kilaini yaliyofanyika kijijini Katoma 07.04.2014.
Wajukuu wa marehemu Paulo Kilaini wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Paulo
Kilaini kuelekea sehemu ilikofanyika ibada.
Mjukuu wa marehemu akisoma somo wakati wa ibada ya mazishi.
Padre Lenald Ruttaihwa akitoa mahubili wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu Paulo Kilaini
Baadhi ya watoto wa marehemu Paulo Kilaini wakifuatilia kwa huzuni ibada ya mazishi ya baba yao.
Masista wa shilika la Bathereza wakitoa heshima za mwisho.
Wafrateli toka seminali kuu ya Ntungamo, wakitoa heshima za mwisho.
Viongozi wa serikali pia walikuwepo, hapa ni Profesa Anna Tibaijuka waziri wa aridhi na makazi
akitoa salamu za rambirambi toka serikalini.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Bi, Costantia Buhiye, akitoa salamu za rambirambi toka
CCM mkoa.
Mkuu wa wilaya bukoba Bi,Zipora Pangani akitoa salamu za rambirambi kwaniaba ya wilaya ya bukoba.
Mwakilishi wa EWURA [anakofanyia kazi mtoto wa marehemu Paulo Kilaini], akitoa salamu za
rambirambi toka EWURA.
Msafara kuelekea makaburini.
Waimbaji wa kwaya ya mt;Daud [BCC] wakiwa wamebeba jeneza kuelekea makabulini.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Paulo Kilaini likiwa chini, huku wanakwaya wa kwaya ya
mt;Daud wakisubili maelekezo kuliteremsha kaburini.
Mhashamu Askofu Methodius Kilaini akiweka udongo kaburini.
Mhashamu Askofu Methodius Kilaini akisimika msalaba katika kaburi ulimowekwa mwili wa
marehemu Paulo Kilaini.
Mhashamu Askofu Nestory Timanywa [Askofu mstahafu], akiweka shada la maua katika kaburi
la marehemu Paulo Kilaini.
Wawakilishi toka EWURA, wakiweka shada la maua kwa pamoja katika kaburi la marehemu
Paulo Kilaini.
Profesa Anna Tibaijuka akiweka mshumaa katika kaburi la marehemu Paulo Kilaini.
Thursday, April 3, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)